aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, August 3, 2013

PRODUCER MKALI BONGO AFIWA NA BABA YAKE...


Producer Kisaka

Producer kisaka kutoka studio za Emotion records za jijini dar es salaam amempoteza baba 

yake mzaz usiku wa kuamkia jumamosi ya juzi kwa ugonjwa wa presha ktk hospital za 

amana dar es salaam.mazishi yatafanyika siku ya juma tatu ktk makaburi ya kinondon..pole 

sana kisaka na watanzania wote kwa ujumla. jina la kisaka michael sio jina geni kwa 

masikio ya wapenda muzic anatambulika kwa kazi zake kadhaa zilizompa heshima ktk tasnia 

ya muziki wa bongo fleva kwan yy ndiye aliyegundua kipaji cha mkali wa bongo fleva Sam 

wa ukweli na ndiye aliyerecord albam nzima ya sina raha kutoka kwa sam wa ukweli pia 

ndiye producer wa mwanamuziki Dullayo tangu ajitoe ktk studio ya mj amekuwa akifanya 

kazi na KISAKA kwa nyimbo kadhaa km twende na mm,mida ya kazi,naumia 

roho,nimeamua,wa leo, na nyinginezo kibao.mbali ya hao pia ametengeneza ngoma kibao 

km za Easy man-kasoro wewe,salu b & mon g-jipange,Gangwe mobb ft dullayo-dawa 

yao,tox star ft spince & salu b-sisemi,na nyinginezo kibao..

HAWA NI BAADHI YA WASANII WANAOFANYA KAZI NA PRODUCER KISAKA


SAM WA UKWELI 


DULLLAYO


TOX STAR


INSPECTOR HAROUN



No comments:

Post a Comment