Lee Daniels’ The Butler 2013 imeshika nafasi ya kwanza kwenye Us Box office baada ya kuingiza kiasi cha dollar $25Million ndani ya wiki moja.
Oprah ameigiza kama mke wa Forest Whitaker ambaye anaonekana naye hapo kwenye picha. Unaweza ukacheck trailer ya movie hii hapa chini
No comments:
Post a Comment