aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, August 19, 2013

MANSU-LI: AZINDUA RASMI ALBAMU YA KINA KIREFU NDANI YA MAISHA CLUB

Siku ya jana ndani ya Maisha Club ni siku ya mwana-hip hop goes by the name Mansu-li alias The underground King ambaye alizindua albamu yake mpya ya ‘Kina Kirefu’ iliyojaa nyimbo kibao na kali.
Katika uzinduzi wa albamu ya ‘Kina Kirefu’ wa Mansu-li ulisindikizwa na wasanii wa Hip hop kama vile Jay Mo, Nikki Mbishi, Kala Pina na wengine kibao.
Albamu ya Kina Kirefu inapatikana mtaani kwa kwa bei ya Tsh5000/= usikose kununua kopi yako ili kum-support Mansu-li na ku-support muziki wa Hip hop kusonga mbele.

    No comments:

    Post a Comment