aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, August 17, 2013

MENO YA TEMBO YAKAMATWA UWANJA WA NDEGE DAR


Kamanda wa Polisi wa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dares Salaam, ndugu Katto akionesha meno ya Tembo  yaliyokamatwa yakiwa yametengenezwa mithili ya bangili tayari kwa kusafirishwa. 
Kamanda Katto akionesha meno ya tembo yaliyotengenezwa kama vijiti.
Jana Agost 16 mwaka huu majira ya saa 10:46 jiono polisi jijini Dar walimkamata raia wa Vietnam aitwaye Nguyen Fanichati akiwa na meno ya Tembo, Tukio hili lilitokea katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Meno hayo yaliyokuwa yamefichwa ndani ya sanduku yalitajwa kwa ujumla kuwa na zinathamani ya Tsh. milioni 18.4.


No comments:

Post a Comment