Mwanasoka bora wa zamani wa dunia, mbrazil Ronaldinho
Gaucho amezungumza na jarida la picha za kiutuzima PLAYBOY
na kutoboa siri kwamba wakati akiwa anaichezea klabu ya
FC Barcelona mara nyingi kabla ya mechi hasa za nyumbani
alikuwa akifanya ngono kabla ya kwenda kuungana na wenzie
kwenda uwanjani.
Akizungumza na PLAYBOY BRAZIL, Ronaldinho ambaye hivi
Akizungumza na PLAYBOY BRAZIL, Ronaldinho ambaye hivi
karibuni alifanyiwa upasuaji wa kurekebisha fizi zake alisema:
"Wakati nikiwa Barcelona mara nyingi nilikuwa nafanya mapenzi
kabla ya mechi, na kwangu halikuwa tatizo bali faida kwa kiwango
changu uwanjani, ilinisaidia kuwa katika hali ya furaha kabla ya
mchezo na hvyo kunifanya nicheze vizuri.
Ronaldinho pia aliliambia jarida hilo kwamba sasa ameacha
Ronaldinho pia aliliambia jarida hilo kwamba sasa ameacha
ukicheche na ametulia na mwanamke mmoja ampendae kwa dhati,
"Nimezama penzini sasa, Nina mchumba na maisha yangu naishi
kwa utulivu zaidi. Huko nyuma nilikuwa sio muaminifu kwenye
mapenzi, lakini sasa sina mpango wa kuwa namna hiyo. Mara ya
kwanza nimeshiriki tendo la ndoa nilikuwa na miaka 13 na jirani
yangu, hakikuwa kitendo kizuri kwa sababu bado tulikuwa watoto."
No comments:
Post a Comment