aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, August 20, 2013

HII SASA NI HATARI MAKALIO FOR SALE JAPO HUJAWEKA KIBAO


Unapiga Picha unaandika maneno mazuri tu na kupost Facebook ama Instragram ,''Asante Mungu kwa siku hii ya Jumatatu,AMEN'' Halafu picha yenyewe umepiga makalio umegeuzia watazamaji.Kwani kuna uhusiano gani wa Makalio yako na siku ya Jumatatu???Au unamaanisha yana shape ya Jumatatu?Halafu wengine basi tu mnapenda kuweka lakini wala shape zenyewe sio kiivyo,sio kwa sababu yule kaweka basi na wewe unatuwekea mkusanyiko wako wa viazi vitamu na kaukau,unajishushia heshima.Sio kila kitu ni cha kuiga,hamjui tu tunawatafsirije huku mtaani...Buttocks FOR SALE japo hamjaweka kibao!ASANTENI

No comments:

Post a Comment