aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, August 20, 2013

FEZA KESSY AJIANDAA KWENDA BOTSWANA KUIMARISHA PENZI NA ONEAL


Ameanza kwa kuulizia nauli ya ndege kwenda na kurudi Botswana kutokea Tanzania. “Does anyone know the cost of a return ticket to Botswana from Tanzania? Holla please,” alitweet Feza Kessy.

Jana aliweka ratiba yake nzima kwa kutweet:

Botswana then South Africa. You don’t understand how much I have mad love and respect for you”

Hiyo ina maana kuwa Feza ataenda Botswana kwa mara ya kwanza kukutana na mpenzi wake Oneal na kisha wote kwa pamoja kurejea tena nchini Afrika Kusini kuhudhuria fainali za Big Brother Africa.

Tarehe 17 mwezi huu, mshiriki huyo wa Tanzania kwenye The Chase aliweka hadharani upendo wake kwa Oneal alipoandika:

I Love you @Onizee and the beauty is that it’s not just empty words. May the good Lord protect us.
Bongo5

No comments:

Post a Comment