Kadhia ya usafiri wa Noah: Abiria wakiwa wamepangwa hadi nyuma ya siti wakiwa kwenye usafiri huo kutoka Mikumi kwenda Mjini Morogoro, kama walivyokutwa leo na kamera yetu eneo la Kijiji cha Mangae, Wilaya ya Mvomero ,barbara kuu ya Iringa - Morogoro. Licha ya gari hizo kuruhusiwa kubeba abiria baadhi ya wenye magari hayo hawazingatii kanuni za usafirishaji kwa kujaza abiria wengi kinyume na sheria.
Abiria wanashuka, wengine wanaingia...
Mlango unafungwa
Haya, safari njema...
No comments:
Post a Comment