aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, August 7, 2013

GARI LA SERIKALI LAPIGWA PINI KWA KUPAKI NDIVYO SIVYO, WANANCHI WAPONGEZA

Askari wa jiji wakimtafuta dereva wa gari hilo.
...Wakilipiga pini gari hilo.
...Wakijiandaaa kulivuta.
...Wananchi waliokuwa eneo hilo wakiwasifu askari hao kwa kutenda haki na si kukamata magari ya watu binafsi tu.
Gari la serikali aina ya Toyota Land Cruiser lenye namba za usajili STK 7091 jana likipigwa pini baada ya kuegeshwa eneo lisilo sahihi nje ya ofisi za Idara ya Habari Maelezo zilizopo Posta jijini Dar es Salaam kitendo kilichopelekea askari wa jiji kulifunga na kutokomea nalo. Watu waliokuwa eneo hilo waliwasifu askari hao waliosimamia misingi ya kazi yao kwa kufunga hata magari ya serikali si wa watu binafsi peke yao.

No comments:

Post a Comment