aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Wednesday, August 7, 2013

Mtandao wa Yahoo kubadilisha logo yake hivi karibuni




yahooKwa wadau wa branding wanafahamu umuhimu wa logo ni mkubwa sana kwenye
 biashara, sasa pale kampuni kubwa kama Yahoo inapoamua kuabadilisha logo
yake ni maamuzi makubwa sana.
Siku 30 kuanzia leo yahoo.com itakuwa na logo mpya kabisa. Logo hiyo itakuwa
 inatambulishwa kwa style ya pekee sana. Kuanzia leo hadi siku ya logo mpya
kuonyeshwa, home page ya yahoo itakuwa na logo tofauti kila siku. Ukiingia
 kwenye home leo itakuta logo hiyo hapo juu, kesho utakuta logo tofauti kabisa.

No comments:

Post a Comment