Jaji Mkuu wa shindano hilo, Rita Poulsen (kushoto) akiongea na wanahabari (hawapo pichani). Kulia ni Meneja wa Vipindi wa TBC, Edna Rajabu.…
Jaji Mkuu wa shindano hilo, Rita Poulsen (kushoto) akiongea na wanahabari (hawapo pichani). Kulia ni Meneja wa Vipindi wa TBC, Edna Rajabu.
SHINDANO la kusaka vipaji la Epiq Bongo Star Search (EBSS) kwa msimu huu litakuwa likionyeshwa kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) baada ya kuonyeshwa zaidi ya miaka mitatu kupitia ITV. Akiongea na wanahabari, Jaji Mkuu wa shindano hilo, Rita Poulsen 'Madam Rita' alitoa ufafanuzi kuhusu mabadiliko hayo na kueleza kuwa hakuna ugomvi wowote kati yao na ITV bali ni suala la kibiashara tu.
SOURCE:GPL
SOURCE:GPL
No comments:
Post a Comment