Baada ya Fast & Furious 6 kumalizika vizuri, fast & furious 7 imeanza kupata majanga baada ya muigiza bora Denzel Wanshington kukataa kushiriki kwenye movie hiyo.
Sababu kubwa iliypelekea Denzel Wanshington kukataa kucheza fast & furious 7 ni kwamba hajaridhika na part yake ambayo anatakiwa kucheza kwenye movie hiyo.
Denzel Wanshington amepewa kipengele kidogo sana kwenye movie ya fast & furious 7 na hakupendezwa na udogo wa kipengele hicho na kupelekea star huyo kugoma kuwa character kwenye fast & furious 7.
No comments:
Post a Comment