aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, August 5, 2013

DAVIS MOSHA ''THE CEO'' ALIPOKUTANA NA CEO WA ZAMANI WA DEATH ROW RECORDS SUGE KNIGHT NCHINI MAREKANI.


    Alex Kassuwi akimpokea Mario Hugh knight Jr. aka Suge Knight
 alipokuwa
 anawasili kuitikia mwito wa "THE CEO" Davis Mosha. Ambapo 
walijadiliana
 jinsi ya kuikuza AFRICA SWAHILI MEDIA nchini Marekani. THE
 CEO alimuita 
Suge Knight kutokana na uzoefu wake katika branding na promotion.
 Suge ni
 mjasirialiamali na mwekezaji mkubwa, na ni muasisi na alikuwa CEO wa
  Black Kapital Records na vilevile ni muasisi mwenza na CEO wa zamani 
wa Death Row Records. Amewapa mafanikio makubwa wasanii Tupac Shakur, 
Dr. Dre, Snoop Dogg aka Snoop Lion, Outlawz na Tha Dogg Pound. 
   Suge akiwasili kumuona "THE CEO" Davis Mosha under escort
  Suge Kabla ya kumuona THE CEO alitambulishwa kwanza kwa mtoto wa 
Davis Mosha, Edgar Mosha. Kulia ni Mayor wa L.A. Bwana Deo Temba.
 Baada ya mazungumzo ya muda mrefu na THE CEO Suge alipata picha ya
 ukumbusho
 Alex kassuwi aka Alex King akimshukuru na kupata picha ya kumbukumbu na
 Suge Knight
kwa kuitikia mwito wa kuja kuonana na Boss Davis Mosha.
  Mayor wa L.A. Deo Temba, Edgar Davis, Suge Knight na THE CEO Mpiganaji 
Davis Mosha wakiwa pamoja JW Marriott L.A. LIVE
Crew walioambatana na Suge Knight kuja kumuona "THE CEO" Davis Mosha
 kwa ajili ya Kuikuza AFRICA SWAHILI MEDIA Marekani.
Suge knight alipokuwa akiondoka baada ya kikao na Mpiganaji Davis
 Mosha THE CEO.
PICHA NI MALI YA AFRIKA SWAHILI MEDIA

No comments:

Post a Comment