aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, August 19, 2013

BREAKING NEWZ : MTAWA AVAMIWA NA KUJERUHIWA VISIWANI ZANZIBAR



HABARI nilizozipata punde kutoka Zanzibar zinasema Mtawa Mkatoliki ameshambuliwa na kuumizwa vibaya humo katika eneo linalodaiwa kuwa ni jirani kabisa na alipopigwa risasi Padri Mushi na kuuawa.
Chanzo kinadai kuwa ni mbwa wa masister hao kumng'ata kuku
wa majirani ndipo kundi la vijana wenye mapanga na marungu wakamvamia mtawa na kumuumiza.Chanzo:JAMIIFORUM

No comments:

Post a Comment