aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, August 19, 2013

BIBI ‘MCHAWI’ ANGUKA WAKATI AKIWANGA CHANIKA

 Watu wakimshangaa bibi aliyedaiwa kuwa mchawi.  Ni aliyekaaa katikati.

 ...Akiwa amepewa chakula, wali na maharage, na Wasamaria wema.

 Akiwa kapakatia sahani la wali aliopewa.

 Watu waliokusanyika kumshangaa.
 
 BIBI mmoja ambaye hakuweza kupatika jina lake mara moja jana majira ya saa mbili usiku maeneo  ya Chanika, jijini Dar es Salaam alianguka wakati akiwa katika harakati za kuwanga ambapo wakazi wa hapo walimkamata na kuanza kumhoji kwa maswali mbalimbali.

No comments:

Post a Comment