aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, August 10, 2013

ALI KIBA, H BABA, WANAUME FAMILY NA TNG WAFUNIKA SHOO YA EID MOSI DAR LIVE

Ali Kiba akiupagawisha umati wa Dar Live kwa wimbo wake wa 'Usiniseme'.
Ali Kiba na mdogo wake Abdul Kiba wakilishambulia jukwaa la kisasa la Dar Live.
Mhe Temba na Chegge kama kawa wakiwarusha mashabiki wa Dar Live ambao ndiyo uwanja wao wa nyumbani.
Bi Cheka akifanya yake stejini.
H Baba akifanya vitu vyake stejini.
Rose Ndauka akiwa jukwaani na kundi la TNG.
TNG kazini.

No comments:

Post a Comment