![Thumbnail for 9475](http://watemi.com/habari/wp-content/uploads/sites/3/2013/08/9475-thumb-240x193.jpg)
Baadhi ya wanafunzi wa kike wakifua nguo zao.Baadhi ya wasichana wanaosoma katika Shule ya Sekondari Mzindakaya iliyopo kijiji cha Kaengesa, wilayani Sumbawanga, wametajwa kuishi kinyumba na wanaume ambao huwahudumia kwa kuwapatia mahitaji muhimu ikiwemo chakula, mavazi pia vileo.Wanafunzi hao ni wale wanaoishi nje ya..Read More http://ziro99.blogspot.ru/2013/08/wanafunzi-wa-kike-sekondari-ya.html#main
No comments:
Post a Comment