aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, August 24, 2013

Video: Wanawake Watekwa Nyara na Kubakwa Kisauni


Wakazi wa mtaa wa sarajezo kisauni Mombasa wameshikwa na hofu baada ya washukiwa wa ujambazi kuvamia makazi yao usiku wa hapo jana pamoja na kuhusika katika wizi wa mali. Majambazi hao wanadaiwa kuwateka nyara wanawake na kuwatorosha vichakani kisha kuwabaka. Wakazi wa mtaa huo sasa wanataka ulinzi uimarishwe zaidi wakihofia vitendo hivyo vinaweza kuwakumba wengine. John Juma anatujuza zaidi

No comments:

Post a Comment