Jamaa aliyefumaniwa akila uroda na ng’ombe mjini Nyeri amehukumiwa kifungo cha miaka 14 katika mahakama ya Mukurweini mjini humo. Wakati wa kutoa hukumu yake, jaji wa mahakama hiyo Wendy Kagendo alisema kuwa ili iwe funzo kwa wale wanaofanya vitendo kama hivi kwa wanyama na watoto, ilimbidi kutoa hukumu hiyo kali. Mohamed mahmoud anaarifu zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment