aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, August 15, 2013

VIDEO: Dereva anusurika kifo baada ya kubanwa na lori lilipotumbukia mtoni Morogoro.

Mtu mmoja amenusurika kifo baada ya kubanwa na gari aina ya Fuso kwa zaidi ya saa 6 baada ya gari iliyokuwa imebeba mizigo kuacha njia na kutumbukia mtoni katika eneo la Kibwe Forest mjini Morogoro.

No comments:

Post a Comment