aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, August 17, 2013

UYU NDIO MTANZANIA ALIYEKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA LOS ANGELS

Shirika la habari la The Associated Press tarehe 15 Agosti 2013 limechapisha habari hiyo na kusema kuwa Mtanzania huyo ametambulika kwa jina la Joseph Mackubi (miaka 33), alikamatwa katika kiwanja cha ndege cha LAX mjini Los Angeles akitokea Nairobi. 

No comments:

Post a Comment