aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Tuesday, August 13, 2013

UPDATE: PICHA: FOLENI YA KWENDA KUMUONA SHEIKH PONDA HOSPITALI YA MUHIMBILI


Waumini wakisubiri zamu yao kwenda kumjulia hali Sheikh Ponda hospitali ya muhimbili....

Watu wengi waenda muhimbili kumuona sheikh Ponda aliyelazwa hospistalini humo. Kutokana na wingi wao ilibidi wapange foleni ili kuepuka usumbufu wa kuingia wote kwa pamoja kwasababu ya uwingi wao.

No comments:

Post a Comment