aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, August 3, 2013

SIMBA INASAJILI KWA HUNDI

Kiungo wa zamani wa Azam, Abdulhalim Humoud (katikati) akisaini mkataba wa kujiunga na Simba mbele ya Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Joseph Itang’are ‘Mzee Kinesi’ (kushoto) anayeandika hundi ya dau la mchezaji huyo. Simba imebadili utaratibu kwani sasa inawaandikia wachezaji wake hundi badala ya kuwalundikia noti mezani.

No comments:

Post a Comment