aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, August 19, 2013

PICHA:MATUKIO KATIKA SHEREHE YA KUTIMIZA SIKU 40 YA MTOTO WA MCHEKESHAJI MIZENGWE ...

MSANII Wa kundi la vichekesho hapa nchini ''Hemedi Maliyanga'' (Mkwere) Kutoka kundi la MIZENGWE linalorusha kipindi chake katika runinga ya ITV, Leo amemfanyia mtoto wake ''Shamsa Hemedi Maliyanga'' sherehe baada ya kutimiza siku arobaini (Hakika) Huko nyumbani kwake Kimara-Bonyokwa leo.

                                 Shamsa Hemedi Malyanga


MKE WA MKWERE NA MTOTO WAKE KAMIRA MWENYE IJABU NA SHAMSA AKIWA AMEMBEBA NA HUYO MWENYE JEZI YA YANGA NI MTOTO WA MPIGA PICHA KUTOKA ITV NOEL KAPANDA



MKWERE NIKIWA NASIKILIZA DUA KUTOKA KWA SHEKHE HAPO PEMBENI YANGU


  

 

NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI WAKIWA NA MTOTO 

 
WAZEE WA FAMILIA YA MALIYAGA WAKIWA KWENYE POZI LA KUPIGA PICHA

MKWERE AKIWA NA MWANAE NYUMBANI KWAKE KIMARA


SHAMSA HEMEDI MALIYAGA AKIWA KWENYE POZI


 Mkwere Akiwa Na Mama Mkwe,Mkewe Na Mtoto Wake Kamira Na Shamsa Aliebebwa


Wadau Wa Karibu Wa ''Mkwere'' Wakipata Chochote Kitu                  

Wakinamama Wakifanya Yao Kwenye Idara ya Mahanjumati


''Kamira'' Mtoto wa kwanza wa ''Mkwere''


No comments:

Post a Comment