aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, August 3, 2013

Photos: Umeshatazama filamu hizi mpya za Bongo?


6debd406e87711e28b6522000a1f97ac_7Kiwanda cha filamu nchini kinaendelea kuimarika sana. Kila siku filamu mpya zinatoka, waigizaji wapya wanazaliwa, kampuni nyingi zinafunguliwa na wananchi wengi wanazinunua filamu hizo. Ni jambo ka kuwapongeza wadau wote waliofanikisha kukifikisha hapo kilipo sasa. Hizi ni baadhi tu ya filamu za hivi karibuni ambazo unahitaji kuziona. Wonder Girl Zawadi..Read More http://www.bongo5.com/picha-umeshatazama-filamu-hizi-mpya-za-bongo-08-2013/

No comments:

Post a Comment