aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, August 25, 2013

"NAJIONA MWENYE FAHARI KUTONGOZWA NA NAY WA MITEGO"...NISHA


MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema hata kama msanii Nay wa Mitego akiwa na mpenzi mwigine kwa sasa lakini anajivunia kupendwa na kijana huyo kwani alihangaika sana kumpata.

Akizungumza na mwandishi wetu, Nisha alisema Nay alimfuatilia kwa kipindi kirefu na alimzungusha kama miaka miwili kabla hata hajawa staa. “Nikivuta ile picha ya kumdengulia kiasi kile mpaka kuamua kumkubali, naamini alinipenda tu na hata kama hakunipenda lakini najivunia kwamba alihangaika kunipata,” alisema Nisha.
 
Wawili hao walidumu katika uhusiano wa kimapenzi kwa miezi kadhaa kabla ya kuachana na kila mmoja akichukua hamsini zake.

No comments:

Post a Comment