aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, August 25, 2013

MSONDO NGOMA YATUMBUIZA KWA MARA YA KWANZA BILA MUHIDINI MAALIM GURUMO AMBAYE AMESTAAFU RASMI....

Baadhi ya wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakitumbuiza kwa mara ya kwanza baada ya mwanamziki mkongwe wa bendi hiyo muhidini Gurumo kustaafu kutoka kushoto ni Shabani Lendi,Hamisi Mnyupe,Saidi Mabera,Juma Katundu na Mustafa Pishuu.

 Baadhi ya wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakitumbuiza kwa mara ya kwanza baada ya mwanamziki mkongwe wa bendi hiyo muhidini Gurumo kustaafu kutoka kushoto ni Shabani Lendi,Hamisi Mnyupe,Saidi Mabera,Juma Katundu na Shabani Dede
Wasanii wa bendi ya msondo wakiwajibika wakati wa onesho lao kutoka kushoto ni Abdul Ridhiwani,Eddo Sanga,Othumani Kambi na Juma Katundu 
Wasanii wa bendi ya msondo wakiwajibika wakati wa onesho lao kutoka kushoto ni Abdul Ridhiwani,Eddo Sanga,Othumani Kambi na Juma Katundu pamoja na Mustafa Pishuu 
Wasanii Hamisi Mnyupe kushoto na Romani Mng'ande wakiwajibika jukwaani. 


No comments:

Post a Comment