aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, August 4, 2013

MKE WA MAKAMU WA RAIS MAMA ASHA BILAL AFUTURU PAMOJA NA WANAFUNZI WENZAKE WA CHUO CHA DIPROMASIAMKE WA MAKAMU WA RAIS MAMA ASHA BILAL AFUTURU PAMOJA NA WANAFUNZI WENZAKE WA CHUO CHA DIPROMASIA

Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha Dipromasia, wakijisevia futari wakati wa hafla hiyo ya 

futari ya pamoja iliyoandaliwa na Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano 
wa Tanzania, Mama Asha Bilal, kwa wanafunzi hao.

Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha Dipromasia, wakipata futari wakati wa hafla hiyo ya 

futari ya pamoja iliyoandaliwa na Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano 
wa Tanzania, Mama Asha Bilal, kwa wanafunzi hao.

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,

 akiwa katika picha za upendeleo na baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Dipromasia,
 baada ya kushiriki nao katika futari ya pamoja aliyoiandaa jana Agosti 3, 2013 kwenye
 Makazi yake Oysterbay, jijini Dar es Salaam

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha 

Bilal, akizungumza na wananfunzi wenzake wa Chuo cha Dipromasia, baada ya kufuturu
 wakati alipowaalika katika futari ya pamoja kwenye Makazi yake Oystabay jijini 
Dar es Salaam.

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha

 Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Kiume wa Chuo cha Dipromasia,
 baada ya kushiriki nao katika futari ya pamoja aliyoiandaa jana Agosti 3, 2013 kwenye 
Makazi yake Oysterbay, jijini Dar es Salaam.

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, 

akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Kike wa Chuo cha Dipromasia, baada 
ya kushiriki nao katika futari ya pamoja aliyoiandaa jana Agosti 3, 2013 kwenye 
Makazi yake Oysterbay, jijini Dar es Salaam.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

Post a Comment