aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, August 3, 2013

MJASIRIAMALI HERIETH CHAMVANGA AZIKWA JIJINI DAR

Waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu Herieth Daniel Chamvanga.
Ndugu wa marehemu wakilia kwa uchungu.
Sehemu ya waombolezaji wakipata chakula kabla ya kuelekea makaburini.
Ofisa Tawala wa Global Publishers Ltd, Soud Kivea (kushoto) akimfariji wifi wa marehemu (kulia). Katikati ni Msanifu Kurasa wa Global, Huruma Bujiku.
Mwili wa marehemu ukipelekwa makaburini.
Jeneza lenye mwili wa marehemu likishushwa kaburini.
Mmoja wa waombolezaji akiweka udongo kaburini.
Watoto wanne wa marehemu wakiweka shada la maua kaburini kwa pamoja.
Shangazi wa marehemu akiweka shada la maua kaburini.
MJASIRIAMALI Herieth Daniel Chamvanga aliyefariki dunia Julai 31 mwaka huu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, amezikwa leo katika makaburi ya Makongo Juu jijini Dar es Salaam. Marehemu enzi za uhai wake aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Mbalali mkoani Mbeya. Mpaka mauti yanamfika, Bi. Herieth alikuwa mjasiriamali. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN! 

No comments:

Post a Comment