aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, August 9, 2013

MILIONI 10/= KWA ATAKAYEFANIKISHA KUKAMATWA KWA WALIOWAMWAGIA TINDIKALI WAINGEREZA...

Picture
Zanzibar, Tanzania — Kamanda wa Polisi, Kamishna Musa Ali Musa amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeahidi kutoa Shilingi milioni 10/= kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazofanikisha kukamatwa kwa watu waliowashambulia mabinti wawili kutoka Londona, Uingereza,  Kirstie Trup na Katie Gee.

Mabinti hao walishambuliwa kwa tindikali usoni, kifuani na mikononi siku ya Jumatano walipokuwa njiani kuelekea kwenye chakula cha jioni.

No comments:

Post a Comment