aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, August 2, 2013

MCHEKI SPIDER MAN WA BONGO ANAETEMBEA JUU YA KAMBA NA KUWAACHA WATU MIDOMO WAZI KWENYE MAONESHO YA NANE NANE



Msanii wa salakasi, Hassan Mkenjula a.k.a Spider Man akionyesha uchwi unaotokana na mazoezi katika moja ya mabanda kwenye maonyesho ya wakulima kanda ya mashariki namna anavyoweza kulala akiwa juu ya kamba yanayofanyika kwenye uwanja wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere Nane Nane Manispaa ya Morogoro. 



Baada ya kuvaa nguo zote Spider Man akion ekana huku akitembea juu ya kamba baada ya kuvaa nguo ikiwemo fulana, tai na suruali.


Baada ya kuvaa zote juu ya kamba hiyo. 

akimalizia kuvaa mguu wa kushoto. 

akivaa mguu wa kulia. 

suari kabla ya kuivaa akiwa juu ya kamba hiyo. 

akivaa. 

Akionyesha fulana kabla ya kuivaa. 

Alianza hivi wakati akifuata nguo ili aweze kuvaa. 

source juma mtanda

No comments:

Post a Comment