aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, August 18, 2013

HUYU BINTI WA MJOMBA ANANITAKA KIMAPENZI-HELP

Leo nimetupia topic hii kwenu kutaka msaada wa kimawazo juu ya huyu binti wa mjomba wangu!
Tangia nije kwa mjomba amekuwa akinitaka kimapenzi eti anadai kisa mi mkarimu sana kwake na kudai amependezwa na tabia zangu na kusababisha kuamsha hisia za kimapenzi kwangu " for sure ananipenda sana even ananililia juu ya hili"
Cha ajabu ni kuwa nimetumia mbinu zote kumweleza juu ya undugu wetu na yeye kudai si mtoto wa mjomba na anamfahamu baba yake original na yuko serious juu ya hilo na mama yake anaelewa hilo ila baba yake hajui!!
wana Mapenzi naombeni ushauri juu ya hili nifanye nini?

No comments:

Post a Comment