aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, August 16, 2013

Hizi ndio picha za kwanza kabisa kumuonyesha mtoto wa Kanye West na Kim Kardashian hadharani

*EXCLUSIVE* First pictures of Kim Kardashian since giving birth to baby North West

Picha ya North West mtoto wa Kanye West
 na Kim Kardashin inaweza kuwa ndiyo picha 
ambayo ilikuwa inatafutwa kwa muda mrefu sana. 
Hatua ambayo mapaparazi wamefikia hivi sasa sio 
mbaya japokuwa bado wana kibarua cha kuendelea 
kuitafuta sura ya binti huyu.
Kanye West aliungana na Kim Kardashian a.k.a 
Mama N kumpeleka mtoto wao kwa doctor ambapo
 mapaparazi hawakuwa mbali na kuzipata picha za
 North West. Mtoto alikuwa amebebwa na nurse 
msaidizi wa hospitali hiyo huku Kanye West na Kim 
Kardashian wakioneka kuwa na furaha sana.
Picha hizi ndizo zina make headline kwenye 
mitandao yote ya udaku huko Marekani na 
mapaparazi wanaendelea kufanya juhudi za
 kupata picha ya muonekano wa binti North West
*EXCLUSIVE* First pictures of Kim Kardashian since giving birth to baby North West
*EXCLUSIVE* First pictures of Kim Kardashian since giving birth to baby North West
*EXCLUSIVE* First pictures of Kim Kardashian since giving birth to baby North West
*EXCLUSIVE* First pictures of Kim Kardashian since giving birth to baby North West

No comments:

Post a Comment