aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Friday, August 9, 2013

HII NDIO KAZI ALIYOKUWA ANAFANYA MSANII LINEX SUNDAY MJEDA KABLA HAJAWA STAR...



Msanii wa muziki wa kizazi kipya hapa Bongo, Linex Sunday Mjeda ameweka wazi kuwa, kabla ya kuwa staa wa muziki aliwahi kufanya kazi kama ripota wa redio,kitu ambacho watu wengi walikuwa hawakifahamu.


Linex amesema kuwa aliwahi kufanya kazi hii kwa muda kidogo akiwa huko Iringa katika kituo kimoja maarufu cha redio, na amekanusha kuwa aliwahi kuchangayikiwa na kupoteza kazi hiyo kutokana na kuvuta Bangi.

Msanii huyu amesema yupo vizuri sana na ataendelea kuwapatia watu vile vitu wanavyovipenda kupitia kipaji chake kikubwa cha kuimba.

No comments:

Post a Comment