aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, August 19, 2013

HATIMAYE KESI YA WALE WACHUNGAJI WA DESI YATOLEWA HUKUMU LEO,MMOJA ANUSURIKA....


Mchungaji Albogasti baada ya kuachiwa huru.

  

Akikumbatiwa na mpendwa wake.
Wachungaji wengine wakirudishwa rumande kwa muda kusubiri hukumu.
Wakirudushwa rumande kwa muda.
Wakiwa kizimbani kusubiri hukumu.
Wakili wa washitakiwa, Atson Ndusyepo akiongea na wanahabari baada ya hukumu.
Umati wa watu wakiwemo waliokuwa wateja wa Desi waliofika mahakamani hapo kujua hatima ya fedha walizopanda wakitoka nje ya mahakama baada ya kuambiwa hakuna chao.
Wachungaji watano wa makanisa ya Kipentekoste waliokuwa wakishikiliwa kwa tuhuma kwa kuendesha biashara ya upatu kupitia Taasisi yao ya Desi Tanzania na kuijipatia fedha kwa njia ya udanganyifu leo mmoja wao, Albogast Francis ameachiwa huru baada ya kuonekana hana hatia na wengine wanne wamehukumiwa kwenda kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya milioni 21 kila mmoja pamoja na kutaifishwa mali zao.
Kesi hiyo iliyokuwa ikiunguruma mahakama ya Kisutu Jijini Dar karibu miaka mine iliyopita mahakama hiyo kupitia hakimu wake Aloyce Katemana ilitoa hukumu hiyo baada ya kulidhishwa na ushahidi uliotolewa upande wa utetezi na Jamhuri. Waliopanda Desi nao waambiwa wanakesi ya kujibu.
Picha juu ni baadhi ya matukio yaliyojiri mahakamani hapo.

No comments:

Post a Comment