aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, August 4, 2013

FORD LATUMBUKIA MTARONI LIKIKWEPA LORI KURASINI JIJINI DAR

Gari aina ya Ford likitolewa mtaroni na winchi.
...Baada ya kutolewa mtaroni.
...Ford likiinuliwa na wanachi.
...Likiwa barabarani.
...Likifungwa minyororo tayari kwa kuvutwa.
Tela la lori lililosababisha ajali.
Lori baada ya kupoteza mwelekeo.
Ford likivutwa na 'breakdown'.
GARI jipya aina ya Ford lisilokuwa na namba za usajili jana lilitumbukia mtaroni eneo la Kurasini karibu na Baraza la Maaskofu jijini Dar es Salaam wakati dereva wa gari hilo alipojaribu kukwepa lori lenye namba za usajili T 879 ALM na tela lake lenye namba T 314 BNE lililokatika 'spring' za taili la mbele na kupoteza mwelekeo. Katika ajali hilo hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa.

No comments:

Post a Comment