aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, November 3, 2013

HUDDAH ABARIKI PENZI JIPYA LA DIAMOND NA WEMA....AMPIGA VIJEMBE PENNY NA KUDAI KUWA WEMA NDIO DEMU SAHIHI WA DIAMOND KWA MAISHA.....!!

























Mwanadada Huddah Monroe wa Kenya maarufu kama "The boss Lady wa Kenya" naye ameamua kufunguka yake ya moyoni kuhusu penzi linalotawala sana vyombo vya habari nchini- penzi la Diamond Platnumz na mwanadada Wema sepetu.
Leo kupitia ukurasa wa mtandao mmoja wa kijamii Huddah aliandika ujembe huu kwa Diamond huku akiweka picha ya mwanadada Wema Sepetu...
Too fresh @diamondplatnumz ,huyu Dame wako ,kipenzi chako.For life ,let nobody tell u otherwise.Hao wengine wapita njia tuu .God bless the two of u.RIP to her dad,I know how it feels to lose someone so dear to u.Take heart Ms Boss.I heart you!
Akimaanisha...
Huyu ndio msichana wako, kipenzi chako cha maisha. Usiruhusu mtu mwingine akwawambie vingine. Hao wengine wapita njia tuu. Mungu wabariki nyie wawili. Apumzike kwa amani baba yake. Najua ilivyo kumpoteza mtu wa karibu sana kwao. Kaza moyo Ms. Boss (Wema). Nakujali/nakupenda.

No comments:

Post a Comment