aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, November 17, 2013

WANAFUNZI WA CHUO KIMOJA KIKUBWA TZ WANASWA WAKIVUNJA AMRI YA SITA HOSTELS

 
aadhi ya madenti wa vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini, wameoza kwa matukio machafu ya ngono Katika uchunguzi wetu unaondelea mpaka sasa, Wapekuzi wetu wameendelea kuusaka ukweli na kufanikiwa kunasa matukio mengi machafu yaliyopitiliza ya vitendo vya ngono ambapo wanafunzi wawili wanaosoma chuo maarufu jijini Dar es Salaam na wanaoishi katika hosteli maarufu ya....(hakuna haja ya kutaja jina maana picha zinajieleza) walinaswa laivu wakifanya uchafu ndani ya hosteli hiyo


Data zilizokamilika zinaonesha video ya tukio zima la "UCHAFU"walioufanya na "KUUREKODI" wao wenyewe kwa hiari yao.Hivi sasa imekuwa ni mila na desturi kwa wanafunzi wengi kuiga tamaduni chafu za nje na hatimaye kutumia simu zao na wakati mwingine kamera na laptop kurekodi uchafu waufanyao ndani ya hosteli zao.


Habari za upekuzi wetu zinaonesha wazi kuwa wanafunzi wengi wa kike wamekuwa wakijihusisha na vitendo haramu vya ngono rejareja na wanaume wakiwa katika hosteli zao kwa kisingizio cha ugumu wa maisha.. Harakati hizo za kujikomboa kimaisha zinawafanya kuwa watumwa wa mapenzi mithili ya watu wanaojiuza na wakati mwingine hufanyishwa mapenzi kinyume na maumbile yao kwa makubaliano ya pesa.


Hata hivyo, ripoti ya uchunguzi wetu haikufanikiwa kuyatambua majina halisi ya wanafunzi hao , isipokuwa ilifuma picha na video chafu za wanafunzi hao wakiwa ndani ya majengo ya umma (hosteli)


Mbali na matukio hayo yaliyosheheni katika makabrasha yetu, uchunguzi umebaini kuwa, siyo kila mwanachuo anayepata nafasi hiyo adimu ya kujiunga na elimu ya juu anafanya kile kilichokusudiwa, badala yake wanafanya kinyume kwa kujihusisha na vitendo haramu vya ngono. Imebainika kuwa wanaoishi hosteli ndiyo wanaoongoza kwa uchafu huo kwa sababu wana uhuru wa kufanya hivyo bila kubanwa hivyo kugeuza vyumba vyao madanguro. Wakijitetea kwa nyakati tofauti, baadhi ya wanafunzi walidai kuwa tatizo ni Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ambayo haiwapi fedha kwa wakati muafaka na kuulalamikia utaratibu mpya wa sasa na hivyo kutafuta njia mbadala za kujiongezea kipato. KWA MAADILI HAITOONESHWA

No comments:

Post a Comment