aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, November 3, 2013

BIBI MCHAWI ADONDOKA BAADA YA WENZAKE KUMUACHA HUKO KINYEREZI..!!


Bibi mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika amesadikika kudondoka kichawi maeneo ya Tabata Kinyerezi Kisiwani baada ya wenzake aliyedai alikuwa nao kumuacha.Bibi huyo ambaye amechezea kipigo kwa Raia kwa kumtuhumu ni mchawi amedondoka Asubuhi ya LEO katika maeneo hayo huku akionekana kutokuwa na kumbukumbu nzuri au kuwa na kiweru weru baada ya kufumaniwa na RAIA


No comments:

Post a Comment