aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Thursday, November 21, 2013

KUWA MAKINI SANA NA MATUMIZI YA SIMU YAKO: SOMA HAPA YALIYO MKUTA DADA HUYU..!!


Kama kawaida sikuhizi umeingia mtindo wa kuji fotoa mapicha kwa kutumia simu tena sio picha tu, bali ni picha za utupu huku ukidhani simu ni yako na ni kitu cha matumizi binafsi hivyo hakuna mtu atayeweza kuziona.

Dada huyu yamemkuta makubwa, ni pale alipoenda kucharge sim kwa jirani yake baada ya mahala anapoishi umemekukatika. 

Kwa bahati mbaya kijana mmoja aliyekuwa akiishi nyumba hiyo aliona sim ngeni nyumbani hapo ikiwa inachajiwa na kuichukua kisha kuanza kuperuzi mara tu alipoingia kwenye gallery alikutana na picha za utupu kadhaa za dada huyo na kuanza kujihamishia moja baada ya nyingine. 

HATARI SANA. CHUNGA SIMU YAKO..!!


No comments:

Post a Comment