aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, August 3, 2013

PICHA: HILI NDILO GALI LENYE MITAMBO YA UPELEZI LILILOKABIDHIWA KWA JESHI LA POLISI....


Jeshi la polisi nchini limepokea msaada wa gari maalum lenye mitambo itayoweza kufanya upelelezi,ukaguzi na uchunguzi wa kitaalam utakaosaidia kupata ushahidi wa uhakika katika kupambana na matukio ya uharifu hapa nchini. 

Akiziungumza na waandishi wa habari, baada ya kusaini hati za ushirikianao wa jeshi la polisi la Uturuki na kisha kukabidhiwa gari hilo, mkuu wa jeshi la polisi nchni,insepcta jenerali Saidi Mwema amesema baadhi ya waharifu wamekuwa wakihachiwa huru na mahakama kwa sababu ya ushahidi wa jeshi la polisi kutokamilika kutokana kutokuwepo na vifaa vya kitaalam ambapo  amesisitiza vifaa vilivyomo katika gari hilo vitasaidia kukusanya taarifa za uhakika za matukio ya uharifu.

No comments:

Post a Comment