Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu akimtunza mama yake Kanumba Flora Mtegoa a.k.a. Mama mkwe wake mara baada ya mama huyu kumfwata msanii huyo wakati alipokuwa akicheza muziki uliokuwa ukitumbuizwa na Machozi Bendi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa filamu ya Foolish Age iliyoandaliwa na msanii mwenzao Elizabety Michael 'Lulu'
Saturday, August 31, 2013
TAZAMA WEMA SEPETU ALIVYOMTOA MACHOZI MAMA KANUMBA...
Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu akimtunza mama yake Kanumba Flora Mtegoa a.k.a. Mama mkwe wake mara baada ya mama huyu kumfwata msanii huyo wakati alipokuwa akicheza muziki uliokuwa ukitumbuizwa na Machozi Bendi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa filamu ya Foolish Age iliyoandaliwa na msanii mwenzao Elizabety Michael 'Lulu'
NANDO AKAMATWA BAADA YA KUIBA CAMERA MOJA YA BIG BROTHER....
Nando ameendelea kuitia aibu Tanzania baada ya kukumbwa na kashfa mpya ya wizi wa kamera ndani ya jumba la big brother.
Wizi huo unadaiwa kutendeka baada ya Nando kualikwa kushiriki fainali za Big brother ambapo Dillish aliibuka mshindi wa shindano hilo.....
Baada ya wizi huo, kamera za jumba hilo zilimuumbua.Nando alikamatwa na kuamriwa airejeshe camera hiyo.
Source: << BIG BROTHER>>
KIONGOZI WA DHEHEBU LA WANAOKULA NYAMA ZA WATU AUAWA KIKATILI
Kiongozi mmoja wa madhehebu ya wanaokula nyama za watu akijiita Yesu Mweusi, ambaye aliwachinja wafuasi wake wa kike wanaojulikana kama 'Flower Girl' na kunywa damu yao, amejiua mwenyewe kwenye misitu minene ya Papua New Guinea.
Akiwa kavalia majoho, Stephen Tari, mwenye umri wa miaka 40, mwanafunzi aliyeshindwa masomo ya Biblia, aliwahi wakati fulani kuongoza 'wafuasi' 6,000 kwenye mikoa ya milimani nchini humo, lakini alituhumiwa kwa kuua wasichana wasiopungua watatu na, huku mama zao wakilazimishwa kutazama, akinywa damu zao.
Akijiita mwenyewe 'Yesu wa ukweli', alitiwa hatiani kwa ubakaji miaka mitatu iliyopita - kabla ya nchi hiyo kutunga sheria mpya zinazosema wauaji wanaotiwa hatiani na wabakaji wanaweza kuhukumiwa adhabu ya kifo - na alikuwa miongoni mwa wafungwa 48 ambao walitoroka gerezani miezi sita iliyopita.
Tangu wakati huo amekuwa mafichoni akiwa na wafuasi wake wa kutosha waaminifu, lakini maisha yake ya vioja yalifikia mwisho pale aliposemekana kumuua mwanakijiji wa kike wiki hii na kujaribu kukatisha maisha ya mwingine.
Akiwa amezingirwa na wanakijiji wenye hasira kali Alhamisi, anaaminika kupigwa na kukatwakatwa hadi kufa, sambamba na kibaraka wake kwenye kijiji kinachofikika kwa tabu cha Gal kilichoko katika jimbo la kaskazini la Madang.
Uchunguzi rasmi uliofanywa na Daily Mail miaka sita iliyopita uliwahoji wanawake watatu ambao walisema walishuhudia Tari akinywa damu ya binti zao waliouawa kwenye sherehe za kafara ya ajabu katika vibanda vya kijiji huku akiongoza wafuasi wake kukatisha kwenye msitu huo mnene.
Sababu ya eneo hilo ambako aliuawa kutofikika kwa urahisi, polisi hawakuwa na uwezo wa kusema kama alituhumiwa kumuua mwanamke sababu alianzisha upya dhehebu lake la zamani na alihitaji kafara zaidi za binadamu.
Mkuu wa polisi wa jimbo la Madang, Sylvester Kalaut alieleza kwamba kijiji hicho ambacho Tari alikumbwa na mauti yake kiko maili kadhaa kwa miguu kando ya njia za msitu mnene kutoka mji huo mdogo wa karibu.
"Tunapeleka polisi na daktari kwenye kijiji hicho kuchunguza chanzo cha kifo hicho.
"Kijiji hicho ambacho alikuwa akiishi ni masaa manne kutembea kwa miguu na kutokana na ushauri na ripoti zilizopatikana za hali ya mwili wake, atalazimika kuzikwa haraka iwezekanavyo baada ya uchunguzi kufanyika," alisema Kalaut.
Ofisa huyo wa polisi alionya kwamba wafungwa wengine ambao bado wamejificha na ambao wamekuwa wakijihusisha na Tari wajisalimishe wenyewe.
"Kwa sasa amekufa na hii inaweza kuwa maajaliwa ya wengine ambao pia wamezitoroka mamlaka husika. Ninaonya na kuwatahadharisha wote waliotoroka kujisalimisha wenyewe kwa mamlaka husika."
Katika kilele cha uovu wake, Yesu Mweusi alikuwa akivaa majoho meupe huku akisimama juu ya mwamba kwenye msitu mnene akitakasa na kuhubiri aina yake ya injili kwa wafuasi wake. Aliueleza umati huo kwamba watapokea zawadi kutoka mbinguni kama wakimfuata yeye.
Lakini nyuma ya mahubiri yake alikuwa na dhamira ya kishetani. Akiwashawishi wasichana wadogo aliowaita 'Flower Girls' kuingia ndani ya vibanda, aliwachinja shingoni na kunywa damu zao, kinamama walithibitisha baadaye.
Mwanamke mmoja alisema aliamriwa kunywa damu ya binti yake mwenyewe katika moja ya matukio hayo.
Polisi hawakuwa na uwezo wa kumkamata, licha ya kufahamu alikokuwa sababu ya uwepo wa 'kundi' lake kubwa - alikuwa akilindwa na kibaraka aliyekuwa akibeba bunduki kubwa, mikuki na pinde na mishale.

Sasa, ni nguvu ya kijiji kwa mara nyingine tena ambayo imehitimisha mafundisho yake haramu. Inatarajiwa atazikwa karibu na jamii ndogo ya msituni ambako aliuawa.
PICHA YA MWANAUME ALIYEGEUZWA KUWA MWANAMKE BAADA YA KUZINI NA MKE WA MTU
Mwanaume mmoja nchini Kenya amejikuta akiambulia aibu ya mwaka baada ya uume wake kubadilishwa kuwa uke....
Mwanaume huyo anadaiwa kufanyiwa mchezo huo baada ya kufumaniwa akizini na mke wa mtu katika kitanda cha mumewe...
Taarifa zinadai kwamba, mume huyo alipomfumania mkewe hakufanya vurugu yoyote na badala yake alitoweka na kwenda kwa mganga wa jadi ambaye aliuchukua uke wa mkewe na kuupachika katika uume wa mzinzi huyo.
Picha ni ya aibu sana.BOFYA HAPO CHINI
<< BOFYA HAPA KUONA PICHA>>

PICHA ZA UCHI ZA PENDO ZAANIKWA BAADA YA KUSHINDWA KULIPA DENI
Picha za uchi za mrembo Pendo zimeanikwa hadharani na mmiliki wa club maarufu ya Westland baada ya binti huyo kushindwa kulipa deni lake.....
Taarifa zinadai kwamba Pendo alikopa pesa toka kwa mmiliki wa club hiyo na kuahidi kuirejesha pesa hiyo siku ya alhamisi iliyopita....
Wakati wa mkopo huo, Pendo alipigwa picha za uchi kama dhamana na akaahidi kwamba endapo atashindwa kurudisha pesa hiyo, basi picha zake zianikwe hadharani...
Siku ya mkataba ilifika huku Pendo akiwa hana hiyo pesa.Hali hiyo ilimfanya jamaa azianike picha zake kama walivyokubaliana.
PICHA NI MBAYA, BOFYA HAPO JUU KUZIONA
Cheki Jinsi Maandalizi ya Kili Music Tour Kigoma Yalivyopamba Moto
Mafundi wakitengeneza nguzo za jukwaa
Kazi ya kufunga jukwaa na banner za kikwetu kwetu
Hakuna shughuli bila sound ya maana, mtaalam kazini.
Muonekano wa jukwaa la Kikwetu kwetu
Mzigo ukiingizwa ndani kwa ajili ya watakaonunua tiketi za tamasha
Eneo litakalotumika kugawa Kili za bure kwa watakaoingia uwanja Lake Tanganyika
Nje ya uwanja tayari tiketi zimeanza kugombaniwa na wakazi wa Kigoma
Jukwaa litakalotumiwa na wasanii 12 mkoani Kigoma
FRANCIS CHEKA NI MOTO WA KUOTEA MBALI.....AMGALAGAZA MMAREKANI VIBAYA MNO NA KUCHUKUA UBINGWA WA DUNIA
Mgeni Rasmi katika Mpambano wa Kimataifa wa kuwani Mkanda wa Ubingwa wa Dunia wa WBU,kati ya Mabondia Francis Cheka wa Tanzania na Phil Williams wa Marekani,Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangala (mwenye koti jeupe) akimvisha Mkanda wa Ubingwa huo,Bondia Francis Cheka baada ya kumshinda kwa Point Mpinzani wake,katika Mchezo uliomalizika usiku huu kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee,Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Bingwa wa Zamani wa Masumbwi,Fransous Bhotha.
Bondia Francis Cheka wa Tanzania (kushoto) akimrushia makonde makali mpinzani wake,Phil Williams kutoka nchini Marekani wakati wa mpambano wao wa Kimataifa kuwania Mkanda wa Ubingwa wa Dunia wa WBU,uliofanyika usiku huu kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee,Jijini Dar es Salaam.Bondia Francis Cheka ameibuka kidedea baada ya kumchapa mpinzani wake huyo kwa Point.
Bondia Phil Williams kutoka nchini Marekani (kulia) nae alikuwa akijibu mashambulizi kwa mpinzani wake,Francis Cheka.hadi mwisho wa mchezo uliokuwa wa raundi 12,Francis Cheka aliweza kuibuka Kidedea kwa kumchapa mpinzani wake huyo kwa point na kufanikiwa kumnyang’anya mkanda wa Ubingwa wa Dunia wa WBU.
Chukua hiyoooooo…
Hapa lazima ukae,mie ndio kisiki cha mpingo:hivyo ndivyo Bondia Francis Cheka alivyoonekana kuifanya kazi yake vilivyo.
Refa wa Mchezo huo akimzuia Bondia Francis Cheka baada ya kumkoleza makonde kisawasawa mpinzani wake,yaliyompelekea kwenda chini.
Mpambano ukiendelea.
Wanahabari wakipata taswira za mpambano huo.
SOURCE DAILY NEWS
USHAWAHI WASANII WA VICHEKESHO WAKIWA NDIYO WANAIGIZA??.. TAZAMA HAPA NYUMA YA PAZIA YA VITUKO SHOW
Masai Nyotambofu ambaye pia ni director wa website yawww.masainyotambofu.com akiwa kwenye pozz kabla hajaa nza shooting yani hapo alikuwa ametoka kuvalia gwanda lake la kimasai kwa ajili ya kuaza mashambulizi mbele ya Camera.
Hapo Masai Nyotambofu anatibua hakawii kucharuka!
Masai Nyotambofu akifanya yake katika kipengele chake kama kawaida yake..
Kushoto ni msanii mkongwe Mwita maranya akiwa na Masai Nyotambofuwakiwajibika mbele ya Camera.
''Yosso Komando'' Camera man waVITUKO SHOW |
Muonekano wa Camera wakati wa kazi
Source:MasaiNyotambofu.
PICHA: WASANII NA WAREMBO MBALI MBALI NAO WALIKUEPO KATIKA UZINDUZI WA FILAMU MPYA YA LULU
UIMBAJI stadi wa Wibo wa YAHAYA wa Nguli wa muziki wa Kizaki kipya Lady Jay Dee umemjaza mahela Msanii wa Filamu aliyejizolea umaarufu kwa miaka ya hivi karibuni, Elizabeth Michael ‘Lulu’ wakati akiimba wimbo huo na Jide wakati wa uzinduzi wa Video yake mpya na yakwanza kusimama peke yake ya FOOLISH AGE.
Baada ya move hiyo kali ya dakika 120 iliyooesha ukali wa staa huyo kuoneshwa kwa dakika 20 tu na kubakisha zingine 100 kusubiri wateja kuziona majumbani kwao alipanda jukwaani kujitambulisha na kutoa shukrani kwa wamepenzi wa tasnia ya filamu nchini Tanzania kwa muitikio wao alipanda na kuimba wimbo huo wa Yahaya.
Akianzia kuimba kiitikio cha wimbo huo akiwa Back Stage, Lulu aliwashangaza watu pale alipomudu vyema wimbo huo kiasi cha mashabiki ‘Mapedeshee’ wakiongozwa na Pedeshee Rich Rich, kupanda jukwaani na kumtunza fedha kibao ambazo hakika zilimpagawisha msanii huyo na mwisho wa wimbo huo alisema mziki unalipa.
“Jamanieee kumbe mziki unalipa ile mbaya yaani nimeimba ubeti mmoja tu hapa ona hela kibao, kuanzia sasa na mimi nitaanza kuimba mziki”, alisikika Lulu akisenma huku akishangiliwa na mashabiki wake.
Uzinduzi wa fikamu hiyo ya kiswahili ambayo ina sub title ya Kiingereza na ambayo haipaswi kuangaliwa na watoto chini ya miaka 16, huku ikiwa imechezwa na wasanii maarufu na wakongwe kama Elizabeth Michael mwenyewe, Diana Kimaro, Hashim Kambi, Ombeni Phiri na Mzee Jengua ulifanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam.CHANZO http://mrokim.blogspot.com
Wasanii mbalimbali walihudhuria show hiyo usiku huu pale Mlimani City
Lulu akizungumza machache mara baada ya Move yake hiyo kuoneshwa kwa mashabiki na wapenzi wa filamu Tanzania ndani ya Ukumbi wa Mlimani City. Wadau walifuatilia burudani... Jide akikamua jukwaani...
Mama na mwanao ni kama chanda na Pete... huyo ni Natasha (kulia) na Bintiye Monalisa.
.... Walitunzana tu kivyao vyao...
noti alizo tuzwa Jide...
Rich Rich akimwaga noti
Wadau wakifuatilia uzinduzi huo wa Filamu.
Furaha ilitawala
Mwogozaji wa Filamu za Kibongo, Leah Mwendamseke nae alikuwepo kuangalia kazi hiyo ya Lulu.
Waongoza Shughuli hiyo watangazaji wa Redio na TV Double G na mwana dada kutoka Times FM walikuwepo.

Subscribe to:
Posts (Atom)