aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Saturday, November 2, 2013

VIDEO: INAHUZUNISHA...MTOTO WA MIEZI 10 ALIA KWA UCHUNGU MAMA YAKE AKIMWIMBIA WIMBO HUU.

Kutokana na udogo wa huyu mtoto wa miezi kumi na jinsi hisia zinavyomteka mpaka kuanza kutoa machozi kutokana na mama yake kuimba nyimbo ndio kilichofanya kila mmoja akimbilie kuitazama video hii na kufikia kutazamwa zaidi ya mara milioni 15 na laki 8 toka imewekwa October 18 2013
 ANGALIA VIDEO HAPA: 


 

No comments:

Post a Comment