aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Monday, November 4, 2013

SAJENT, MAIMATHA WASHINDANA KWA MAKALIO MAKUBWA...!!

MWIGIZAJI Husna Idd ‘Sajent’ na mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse wamenaswa wakishindana ukubwa wa makalio yao wakiwa wamelala kitandani. 

Tukio hilo lililowashangaza wadau, lilitokea hivi karibuni wakati mastaa hao walipokuwa wanarekodi moja ya vipindi vya washiriki wa Shindano la Vigori katika Hoteli ya Kebbys Mwenge jijini Dar.
 
Jamani mimi ninalo (wowowo) kuliko wewe, ukubwa dawa mimi na wewe wapi kwa wapi Sajent?” alisikika Maimartha.

-GPL

No comments:

Post a Comment