aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, November 3, 2013

NORA AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA MARA YA KUPEWA KICHAPO NA RAY C...!!


Baada ya habari nyingi sana kuzagaa kwenye mitandao kuwa mwanadada Ray C amegeuka bondia na kumpiga kwa knock-out kali mwanadada Norah, hatimaye kupitia mtandao mmoja maafufu wa kijamii tumeweza kupata video ikimuonesha mwanadada Norah akisema kuwa tukio hilo si la kweli na kwamba yeye na Ray C ni mashosti wa kufa mtu na kuwa habari hizo ni za uzushi tuu 

No comments:

Post a Comment