X girlfriend wa Prezzo Huddah Monroe amemchafua vibaya mshikaji wake wa zamani kwa kumfananisha na mbwa jike asiyechoka kuhaha....
Ugomvi huo ulianza baada ya Prezo kuweka picha hii ( chini ) kwenye instagram ikiwa na caption zinazosema “Funny how sme past dnt wanna be tense……welcome 2 my future @chaggabarbie #MySize #GodIsInControl #UnRulyPreStar #Rapcellency”.
Huddah Monroe alishindwa kuvumilia na kuamua kutoa comment nzito inayosema :
“Una future gani wewe? Mwanaume mzma hela hauna, @Prezzo254 , Broke as he’ll still living under ya moms roof…..Wacha kujiaibisha, sitaki nikuaibishe mbwa koko. Respect yourself!”.
No comments:
Post a Comment