aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, November 3, 2013

DEREVA WA BODA BODA AVUNJIKA MIGUU MARA BAADA YA KUGONGANA NA GARI MAENEO YA KIMARA..!!



Abiria hoi baada ya ajali.
Wasamaria wema wakijaribu kutoa msaada.
Dereva wa bodaboda akishika sehemu ya mguu wake iliyovunjika.
Wakisubiri msaada.
Bodaboda yao.
Wasamaria wema wakitafakari jinsi ya kuwakimbiza kupata matibabu.
Majonzi.
Gari iliyowagonga.
Dereva wa bodaboda amevunjika mguu na abiria wake kupoteza fahamu baada ya kugongwa na gari ndogo aina ya  Toyota Carina yenye namba za usajili T236ATJ . Ajali imetokea Barabara ya Morogoro eneo la Kimara Stop Over jijini Dar wakati bodaboda hiyo ilipokuwa ikitokea Mbezi kuelekea mjini kugongwa na gari hiyo ilitokea upande huo kukunja kona upande kushoto wa ghafla na kuwazoa majeruhi hao.

No comments:

Post a Comment