Kupitia account yake ya facebook, Profesa Jay amewataka mashabiki wake watambue kuwa kuna wabaya wake wali hack account zake za twitter na facebook na kutangaza kwamba kesho atatumbuiza katika tamasha la Serengeti Fiesta...
Taarifa sahihi ni kwamba, yeye hatahudhuria tamasha hilo na waliotangaza taarifa hizo ni adui wa mafanikio yake ambao walitumwa na vibosi wao ili wamchafue.
No comments:
Post a Comment