aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, October 20, 2013

WEMA SEPETU AFUNGUKA KUHUSU SKENDO YA MAHUSIANO YAKE MAPYA NA DIAMOND....!!



Wema Sepetu mwenyewe anajua kwamba watu wengi wanafikiri yeye anawaza kuwa na Diamond hivi sasa, lakini ametoa majibu ya hayo mawazo kwenye hii picha. Maana ya hii picha ni kwamba watu wengi wanafikiri kwamba muda wote Diamond yupo kwenye kichwa cha Wema, lakini yeye mwenyewe anasema kwamba muda wote anafikiria pesa. Unaionaje hiyo 
picha?


No comments:

Post a Comment