aaaaa

Pages

Ads 468x60px

Sunday, October 20, 2013

LEO PATAKUWA HAPATOSHI UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR!! NANI ATAMPAKATA MWENZAKE?....



Watani wa jadi nchini Simba na Yanga leo jioni wanashuka katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kupambana katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, huku Simba ikiwa na rekodi nzuri ya kuifunga Yanga mabao 5.

Kila upande umekuwa ukitamba kuibuka na ushindi leo.


=====YETU  MACHO=======

No comments:

Post a Comment